JamiiForums Usiku wa manane
Ni fiest dada hahaha mm mwanzo nilihisi bar ila kelele za bar nilipo hakuna akili ndo inarudi duniani nikakumbuka mshikolo
Dah! Wewe kweli umenishtua kitambo nasikia mziki nikawa sielewi unatokea wapi manake si kawaida.
Kwa maelezo haya mnaishi maeneo hayo ,au siyo
 
Back
Top Bottom