chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Ndio temeke nzima tumetembelewa, tunashuhudia kwa masikio liveKwa maelezo haya mnaishi maeneo hayo ,au siyo
Ndio temeke nzima tumetembelewa, tunashuhudia kwa masikio liveKwa maelezo haya mnaishi maeneo hayo ,au siyo
La mguu gani ss nilichapeAchape lapa..
Wacha tuendelee kufurahia show hii ya bila kiingilioHahahahahahaha tuhamie bunju tu kama vp
Nakazia
Njanjaroooo
Nikupeleke ngarenarooooo![]()

Eti wanatufukuza kisa tunanaskiliza na kubembelezwa na nipe vit unipe vru konkiNdio temeke nzima tumetembelewa, tunashuhudia kwa masikio live



Safi sana, najua hapo vijana wamepata fursa, kesho police chang'ombe kesi za kutosha, kubakwa, kuibiwa simuNdio temeke nzima tumetembelewa, tunashuhudia kwa masikio live
Hv unaskia ur my bananaWacha tuendelee kufurahia show hii ya bila kiingilio![]()






Hahahahaha kama me nipo huku nasikia hivi... je waliopo huko kabisa,Eti wanatufukuza kisa tunanaskiliza na kubembelezwa na nipe vit unipe vru konki
Baby wacha maseke mandindindi![]()
Hv ndo inavyikuaga kumbeSafi sana, najua hapo vijana wamepata fursa, kesho police chang'ombe kesi za kutosha, kubakwa, kuibiwa simu
Na wasilalae hv ss hv ni nani sauti imepungua naskia ndege inaondoka tuHahahahaha kama me nipo huku nasikia hivi... je waliopo huko kabisa,
Walinzi tuliopo tmk ni ngumu kusinzia leo full burudani
Banana nimeisikia imekujaHv unaskia ur my banana![]()

Wapo wa kingkiba sio?! Wanavisuati vidogo siksiii dahBanana nimeisikia imekuja
Wewe mtoto unanichanganya wewe mtoto![]()

Mwana kulitaka mwana kulipata, show za hivyo ukienda lazima ukubaliane na matokeo yatakayokuja baada ya showSafi sana, najua hapo vijana wamepata fursa, kesho police chang'ombe kesi za kutosha, kubakwa, kuibiwa simu
Kwani Alikiba yupo?Na wasilalae hv ss hv ni nani sauti imepungua naskia ndege inaondoka tu
Mie nasikia sema sauti inapotea na kurudi tenaWapo wa kingkiba sio?! Wanavisuati vidogo siksiii dah![]()
Sijui niliona anafanya mazezi uwanjani wakasema ni fiesta etiKwani Alikiba yupo?
Siskii chochote ss hvMie nasikia sema sauti inapotea na kurudi tena

Hahahaha, kesho km unakaa mitaa hy andaa hela ya mtaji, maana utaletewa hadi lips tick zilizopigwa huko fiestaMwana kulitaka mwana kulipata, show za hivyo ukienda lazima ukubaliane na matokeo yatakayokuja baada ya show
Au ni group lake ndo wapo.. wanaimba masozSijui niliona anafanya mazezi uwanjani wakasema ni fiesta eti
PoleSiskii chochote ss hv![]()
