Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mambo vipi mkuu
Zimefika tamati eh?
Zimefika tamati eh?
Poa Mkuu, Kwema?Mambo vipi mkuu
AfadhaliNipo.....
Nilikuwa nakutafuta sana.Kunani?
Kuna mtu namtafuta.
Za kushinda?Habari za asubuhi
Nilikuwa nakutafuta sana.
Fanya urudiSidhani.
Unamtafitaje mtu ambaye yupo hapo ulipo ?
Fanya urudi
Utulie sasa, sipendi ukiwa mbali nami.Nimerudi.
Utulie sasa, sipendi ukiwa mbali nami.
Mimi member wa chaputa, ntakuumiza tu,maana ntakuacha kitandani aloneNaondoka na wewe
Wadanganye wenzako tu.Mimi member wa chaputa, ntakuumiza tu,maana ntakuacha kitandani alone