Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,843
HahahahaUsinisahau katika ufalme wako mkuu,
Zile dollars unigawie na mimi
HahahahaUsinisahau katika ufalme wako mkuu,
Zile dollars unigawie na mimi
Yaani na kuona hawaoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata kuona hawaoni ndo maana hawaangalii
Ahsante, mapumziko muhimu dada yangu.Vipi baridi imekuzidia nini?
Asante na kwako pia mpendwa
@Thad mupenzi,hayo yashapitaKisa chako kimenishtua moyo...usiniulize kuhusu hili tafadhali
Hamuwezi kamweWanawake ni muda umefika tuache ujinga wa kumpenda mtu hadi unapoteza heshima yako mtu anakufanyia vituko upo tu ...eti unavumilia.
Naielewa kichizi mkuuBasi unavumilia tu....usituaminishe unapenda flat screen ya Thad
Wow afu napendaga wanawake wababe kuna kipindi nilienda mbali hadi kupenda ma tom boy wenye muscleSio ubabe tu, nina zaidi ya ubabe![emoji23]
Aisee kumbe unapitiaga ule uzi ? Kuna mke mwenzio hukoKaangalie mambo yangu kwenye selfika na jf kisha uje kutoa ushuhuda hapa
[emoji23]akati nilichukua nambaUlikaambia au uliishia kukakodolea macho tu?
Weka chanel 250 wikendi kuna mambo mazuri..00:33
Channel 137 TNT AFRICA-DSTV
Movie:Judgement Night(1993)
Movie time.
The Angriest man in brooklyn sio?Nimeshaiona ni movie poa sana.Weka chanel 250 wikendi kuna mambo mazuri..