ribussama
Member
- Dec 11, 2016
- 94
- 42
Na mimi nimeshakuwa muathirika wa kukosa usingizi usiku.. Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jomoni...
Jumlisha na hiyo avatar ndo kabisa mikono inakosa utulivu wa kushika kirungu na karedio kangu
Haujaisha unaendelea ila wamelala kabla ya usiku wa manane.Usiku wa manane ndo umeisha nini?
Usiku wa manane. MajogooYa sa ngapi?
Njoo huku ni mahali salamaNipo wifi shemeji yako hajambo naskia sikuhz kuna kimchepuko kinambana ndo mana haonekani tena mida hii![]()
Ndio huu sasa. Usiku wa mashetani.Hivi usiku wa manane unaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
Mzee wa nyumba nyingi huyoYa kweli hayo???na relato ana karibia kurudi huku sasa...
Saint Ivuga shemela ya kweli hayo??
NipoooooJanaaa na leooooooooo
Yap yapFather mtoto
niaje captain