JamiiForums Usiku wa manane
Bila shaka utakuwa mwanga tajiri duniani,maana kama mtu mmoja anakulimia heka 2 kwa usiku mmoja tu....
Hahaha sema utajiri wangu kwa kiasi kikubwa nawagaia wasio nacho, kama sio ivyo ungeniona kwa jarida la Forbes nashindana na Bilget.
 
Back
Top Bottom