Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kweli jana niliiona nguvu yenu,maana baada ya sekunde 30,nililala fofofo .....sijui ndo ulinipeleka shamani kwakoHahaha inaonyesha hautambui uwezo na nguvu tulizonazo, hakuna umbali mrefu kwetu sekunde 30 tayari nishakufikia, sisi huwa tunapalilia kabla ya usiku wa manane na baada ya usiku wa manane (sijui ndo mnaita morning glory) kuoa au kuolewa na mwanga raha sana.
Kumbe ndo janja yenu...kupalilia ndoa kabla na baada ya usiku wa manane eeeh!




Bila msaada wangu bibie utapata tabu sana.