Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Wifi yenu anazingua huyu..
Wengine uongo sio vazi letu mchumbaAmeniudhi balaa macho makavu eti ananiambia alichepuka si bora angenidanganya tu![]()
Unapigilia kabisa msumali wa mwisho kwenye jeneza
Hahahaaa wakala wa upatanishi umeamua kuwa wa uchonganishiUnakata hutongozi?
Embu nikatafute ushahidi.
Kukusamehe ni ngumuWifi yenu anazingua huyu..
Usifanye moyo mgumu..Kukusamehe ni ngumu
Huoni ulinidanganya tokea mwanzo uliponiambia unaniona mimi tu wengine unawaona vimvuli!!!Wengine uongo sio vazi letu mchumba
Umeyamiss?Nawe wamtetea tena anawatongoza kwa maneno matamu wakati kwangu maneno hayo nishayasahau
Hahahaaa wakala wa upatanishi umeamua kuwa wa uchonganishi
Nenda mwaya kalete ushahidi wa kutosha ili nimbwage mchana kweupeUnakata hutongozi?
Embu nikatafute ushahidi.
Ulipote miezi mingap kama wakumbuka?Huoni ulinidanganya tokea mwanzo uliponiambia unaniona mimi tu wengine unawaona vimvuli!!!
Kamefanyaje😁😁Kaone
Bora hata hatukuwahi kufunga ndoa makucha yako yameonekana mapemaUsifanye moyo mgumu..
Samehe mara 70
Uliapa kunivumilia kwa shida na raha
Kamefanyaje![]()
MnoUmeyamiss?