Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Hata kama ingekuwa miaka lazima usimame kwenye ahadi yako ya kuwa muaminifuUlipote miezi mingap kama wakumbuka?
Hata kama ingekuwa miaka lazima usimame kwenye ahadi yako ya kuwa muaminifuUlipote miezi mingap kama wakumbuka?
😁😁😁 nje innocent ndani kagomvi...Kalivyo innocent
Bora hata hatukuwahi kufunga ndoa makucha yako yameonekana mapema
nje innocent ndani kagomvi...
Hauna blanket chapa ya mtu hapo?Usingizi mpaka nasahau ID yangu, nabakia kuitafuta.
Nilikumiss pia kipenzi...Nzuri kipenzi
Nilikumiss mno
Usilale bhana bado mapemaUsingizi mpaka nasahau ID yangu, nabakia kuitafuta.
Unaanza kujitetea lkn kumbukumbu nzuri tulizokuwa nazo zingekufanya wewe uendelee kuwa muaminifu hakukuwa na sababu ya wewe kunisaliti uliamua tuMsingi wa mahusiano ni mawasiliano dear.. yangekuwepo hata ungekaa karne nisingecheat
Trust me nimemiss kile kitu nilichowahi kukuambia napenda kukisikia. Sijui nakipata wapi tena
Asante MpenziNilikumiss pia kipenzi...
Karibu tena lindoni
Mmeanza kuchekeana
Nimekubali kosa naomba unisamehe. Umenisamehe?Unaanza kujitetea lkn kumbukumbu nzuri tulizokuwa nazo zingekufanya wewe uendelee kuwa muaminifu hakukuwa na sababu ya wewe kunisaliti uliamua tu
Huyo ni dada tu acha wivu 😁😁😁Mmeanza kuchekeana
Trust me nimemiss kile kitu nilichowahi kukuambia napenda kukisikia. Sijui nakipata wapi tena
Ooh DisgustingAcha kujijazia sifa si zako.
Daah so fairNitafikisha ujumbe, uwe na Amani
Daah so fair