Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Tuko pouwaaaInakuaje wazee
Tuko pouwaaaInakuaje wazee
Hata sio wivu yani kukuacha tu kidogo umeshageuza shingo kwa girl mwingine ahadi zote tulizoahidiana zilikuwa uongo sawa tuWivu unawasumbua dear.. si unajua watu hawapendi kuona wawili...![]()

Safi tu mzima wwInakuaje wazee
Have a little faith love.. wifi yako bbade anhekuwepo angekuambia jinsi gani nilivyolinda penzi lako ulipokua haupoHata sio wivu yani kukuacha tu kidogo umeshageuza shingo kwa girl mwingine ahadi zote tulizoahidiana zilikuwa uongo sawa tu![]()
Mambo,Safi tu mzima ww
Mh yeye lazima akutetee ngoja niendelee kuangalia mambo yanavyokwendaHave a little faith love.. wifi yako bbade anhekuwepo angekuambia jinsi gani nilivyolinda penzi lako ulipokua haupo
Safi za kwakoMambo,
Sasa kwanini ulimuacha mpenzio muda wote huo.. hata zawadi ya besidei hukumpaMh yeye lazima akutetee ngoja niendelee kuangalia mambo yanavyokwenda
Mpenzi mbona nilikueleza hali halisi hukutaka tu kuwa mvumilivuSasa kwanini ulimuacha mpenzio muda wote huo.. hata zawadi ya besidei hukumpa
Umeona kumbe ndio maana umenisalitiUkivumilia sana unakuta mbivu zimeoza...
Mambo1:05Am
Sijakusaliti ila kidogo nilichepuka. Kama yesu alisalitiwa na rafiki ake peter na akampokea tena basi nami naomba unipokee tenaUmeona kumbe ndio maana umenisaliti
Kha!Sijakusaliti ila kidogo nilichepuka. Kama yesu alisalitiwa na rafiki ake peter na akampokea tena basi nami naomba unipokee tena
na unaongea kabisa kwa kujiamini si bora ungenidanganya tu Ooohh jamanii sio vizuri hvo..Kha!na unaongea kabisa kwa kujiamini si bora ungenidanganya tu
Haya niambie ulichepuka na nani,?
Nzuri. Hvi bbade yuko wapi. Ninashida nae ya kummiss
Basi endelea nae tena na kadi mnileteeOoohh jamanii sio vizuri hvo..
Anaitwa cute b Hahahaaa
Ameniudhi balaa macho makavu eti ananiambia alichepuka si bora angenidanganya tu

Ameniudhi balaa macho makavu eti ananiambia alichepuka si bora angenidanganya tu![]()