Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Bado unajifanya hujui udhaifu wangu uko wapi ili nikusamehe kwa haraka?Nimekubali kosa naomba unisamehe. Umenisamehe?
Au umeshasahau mambo gani napenda
Bado unajifanya hujui udhaifu wangu uko wapi ili nikusamehe kwa haraka?Nimekubali kosa naomba unisamehe. Umenisamehe?
Naona mnaongea kwa mafumbo nisijekuwa nazungukwaHuyo ni dada tu acha wivu![]()
Naona mnaongea kwa mafumbo nisijekuwa nazungukwa
Naona mnaongea kwa mafumbo nisijekuwa nazungukwa
Bado unajifanya hujui udhaifu wangu uko wapi ili nikusamehe kwa haraka?
Au umeshasahau mambo gani napenda
Bado unajifanya hujui udhaifu wangu uko wapi ili nikusamehe kwa haraka?
Au umeshasahau mambo gani napenda
Basi Nenda kwa hao wasiokuwa na gubuMwanamke una gubu +Wivu hadi kwa wifis
Asante wifi ila ulikuwa wapi kipindi chote sikuwahi kukufahamu kablaWifi kipenzi uwe na Amani.
Karibu nyumbani
Asante wifi ila ulikuwa wapi kipindi chote sikuwahi kukufahamu kabla
Kuogelea ndo kunifanye nikusamehe! Si ninaweza kuogelea mwenyeweKuogelea righ????

Hahahaaa basi nimesahau kwakweli. Miezi mingiKuogelea ndo kunifanye nikusamehe! Si ninaweza kuogelea mwenyewe
Kweli umenishau![]()
Basi naona tu tuachaneHahahaaa basi nimesahau kwakweli. Miezi mingi
Nasikia kashampeleka mwenzangu muda sasa na mawifi mnaonekana mmemkubali
WhatiiiiiiBasi naona tu tuachane
Hakieleweki bado....mimi kama wifi mkubwa...wewe ndio chaguo letu.
asante wifi angalau moyo umefarijika najitahidi kujifanya simtaki ila moyo bado upo kwake TuachaneWhatiiiiii
Wifi yenu anachomos betri.. bola dada kubwa bbade anfekuwepo akamaliza mamboHakieleweki bado....mimi kama wifi mkubwa...wewe ndio chaguo letu.
Kifo changu utahusika 120%Tuachane