Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
Muda wa kazi huu
Muda wa kazi huu
Huko vizuri kwa kazi hujawahi yumbaMuda wa kazi huu
Hola mis amigos leo mpka hasubui nalinda
Ngoja niende nikaangalie riwaya nzuri nianze soma humu watu wamelala
Haya
Mbona unatumia I'd yenye mwaka 2010 ,what is so special about that year ?


Ngoja niende nikaangalie riwaya nzuri nianze soma humu watu wamelala
Nilipata inaitwa Siri inaonekana nzuri nitaendelea badaeUmepata riwaya gani?
ujambo?Nilipata inaitwa Siri inaonekana nzuri nitaendelea badae
Hivi ukomo wa lindo huwa ni saa ngapi ?
Nimekupata vyema.Heheh inategemea upo upande gani wa dunia
Sijamboujambo?