Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,961
Sio via tu
hakuna kukimbiwa tenaView attachment 1251550
hakuna kukimbiwa tenaView attachment 1251550
Salama mkuuHabari zenu walinzi
Tupo kimyakmyaLeo mmetegea eeh lindo
SafiTupo kimyakmya
Hahahahhakuna kukimbiwa tenaView attachment 1251550
Njoo tulale,mpz wangu1:09am
Ndio maana nimekupita hapo unakoroma kumbe ulikuwa unapiga na bia...?Leo mwendo wa lindo na bia
Hahahaha, usitoe siri ,kausha, nilikuona nikauchunaNdio maana nimekupita hapo unakoroma kumbe ulikuwa unapiga na bia...?
Poa nimekuelewa mkuu kumbe ulikuwa umelala kisungura..!Hahahaha, usitoe siri ,kausha, nilikuona nikauchuna
Yap yap, ngoja niende pale pro 24 kwa Peter Mo nikashangae kdgPoa nimekuelewa mkuu kumbe ulikuwa umelala kisungura..!
Muda wa kula bata huu, lindo naliacha ,aliyekua bar SAA hz aniambie nitie timu02:36...