The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
#Baki na mm#
00:24
00:24
Naam mambo financialSaa saba kasoro hii
Tupo bibie...mzurriNipo ....
Saa saba kasoro hii
Nipo ....
Naomba muutambue uwepo wangu leo.
Saa 2 asubuhi kanisan ila mpaka muda huu nazurura mitandaoni
Wewe hutaenda? Nitakuombea siriazUniombee
Wewe hutaenda? Nitakuombea siriaz
Jisikie uko nyumbani,mi niko hapa getini nimejikausha nawacheki tu mnavyoingia na kunipita bila kunisalinia...Naomba muutambue uwepo wangu leo.
Jisikie uko nyumbani,mi niko hapa getini nimejikausha nawacheki tu mnavyoingia na kunipita bila kunisalinia...
Nami uwe unaniombea basi si unajua tena..Nimesali leo/jana
Nami uwe unaniombea basi si unajua tena..
Mfuatedemu wangu aliniaga anaenda kwa rafiki yake mchana saa iv ananitumia sms anasema anaenda nae club..nimemwambia harud nyumban asiende club kakataa anasema nimsamehe tu atarud kesho
usingizi wote umekata hapa
Amen..Zimefika pahali pake