Hahahaha, aseeWatu siku hizi hamkeshi na baridi hili sijui mnafanyana nini usiku mpaka mnasahu lindo.
Hahahaha, mlinzi mwandamizi nipoAkina
Ilikua hatari enzi hizo
- Ambiele
- Bbade
- Mr miller
- Don
- Mtu chake
- Amu
- Da'Vinci
- Astelia
- Nk nk
Hahahaaa noma sanaaHahahaha, mlinzi mwandamizi nipo
Hola amigo..Hola
BienComo estacy
We kamata silaha ingia lindo, ulikimbia kitambo sanaHabari zenu jamani
GraciasBien
Huyo Da'Vinci sijui alishakwenda wapiAkina
Ilikua hatari enzi hizo
- Ambiele
- Bbade
- Mr miller
- Don
- Mtu chake
- Amu
- Da'Vinci
- Astelia
- Nk nk
Da'Vinci alibadirika akawa denvers. He missed youHuyo Da'Vinci sijui alishakwenda wapi
Nimewamiss wote enzi zile stori kwa sana