Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,861
Mda wa kuanza kujiandaa kwenda mlima wa moto03:00
Mda wa kuanza kujiandaa kwenda mlima wa moto03:00
EwaaMda wa kuanza kujiandaa kwenda mlima wa moto
Uchoyo shemNiko lindo sijanywa hata maji
Wasalimie uendako03:14 Popo mkongwe nimepita tu kuwasalimia![]()
Njoo tupigwe baridi hapa shemUchoyo shem
Kimeenda na mafurikoWewe huna kiwanda
Hapana aisee, mwenyewe nipo lindo ila nipo ndaniNjoo tupigwe baridi hapa shem
Kuwa na viwanda vingi sio vizuri,bora kuwa na kimoja unachoweza kukiendesha
Kwani ulikuwa nacho kimoja?!
Hilo sio lindo banaHapana aisee, mwenyewe nipo lindo ila nipo ndani
Mbona kikaondoka na mafuriko etiiKuwa na viwanda vingi sio vizuri,bora kuwa na kimoja unachoweza kukiendesha
Nachungulia tu kwenye kidirishaHilo sio lindo bana
Acha wogaNachungulia tu kwenye kidirisha
Kilizidiwa na maji, nilijenga mabondeni.😂😂Mbona kikaondoka na mafuriko etii
Siku hizi tupo kisasa zaidi, natumia CCTVAcha woga
Toka njee zunguka
Kwelii wewe upo mamtoniSiku hizi tupo kisasa zaidi, natumia CCTV
🤣🤣🤣🤣 Nsio hivyo,siku nyingine nitahakikisha naweka msingi mkubwa,halau nakijenga kwenye sehemu iliyopimwa vizuri.
Pole mnoo jamani