Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Kumekucha sasa
Na wewe mbona upo huku badala ya kutengeneza watotoAcheni makelele watu wapo busy kutengeneza watoto

Dah! Hii ndo shida ya kulala mchana kwa upande wangu hayaushakata sasa ....
![]()
ShkamooMimi nimelala jana saa 12 jioni, nilisema acha nipumzike kidogo, huwezi amini ndio nimeshtuka hapa,njaa inauma balaa,hii ndio shida ya kukaa mwenyewe
Wanatengenezewa wapi eti nami niendeAcheni makelele watu wapo busy kutengeneza watoto
Shkamoo
Mnalala sana
Niko lindo sijanywa hata majiShikamoo shem,hujabakisha hata kiporo
Wewe huna kiwandaWapo kiwandani wanatengeneza watoto