PambanaNipo macho kwa hisani ya spika ya baba mchungaji kutoka kanisa la jirani na nyumbani.
Nipo macho kwa hisani ya spika ya baba mchungaji kutoka kanisa la jirani na nyumbani.
Napambana mkuu mchungaji kaamua kukesha anahubiri usiku kucha na nahisi spika kaielekezea upande wa dirisha langu namsikia vizuri sana.Pambana
Mkuu upako wa kulazimishana, mimi nipo nyumbani kelele kutoka kanisani kwake ndo zinaninyima haki yangu ya kulala.Hongera sana kwa kupokea upako
Sometimes upako ni wakilazimishwaMkuu upako wa kulazimishana, mimi nipo nyumbani kelele kutoka kanisani kwake ndo zinaninyima haki yangu ya kulala.
Nafunga geti...
Nakutafuta sana mrembo. Naona kama tunapishana hivi.Lindo lindoni
Tunatafutana na kupishana piaNakutafuta sana mrembo. Naona kama tunapishana hivi.
Njoo huku tutete jambo maana kumisiana huku kunabidi kutafutiwe ufumbuzi wa haraka sana.Tunatafutana na kupishana pia
Mekumiss thana
Ewaaaah..hapo umenena..nakuja Sasa hivi.Njoo huku tutete jambo maana kumisiana huku kunabidi kutafutiwe ufumbuzi wa haraka sana.
Njoo nakusubiri.Ewaaaah..hapo umenena..nakuja Sasa hivi.