Mapopo
maaskari wa lindo wameshaanza kuzeeka....sasa hivi wako hoi wamekimbia lindoKwani wote mmelala?
Manga ML enzi hizo tumekesha sana hebu njoo tusogeze masaa.
[emoji28][emoji28][emoji28]au wameoa na kuolewa mida kama hii wamekumbatia na kukumbatiwa.maaskari wa lindo wameshaanza kuzeeka....sasa hivi wako hoi wamekimbia lindo
ha ha ha ha hii ni mida ya uumbaji mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]au wameoa na kuolewa mida kama hii wamekumbatia na kukumbatiwa.
Vipi wewe haufanyi uumbaji mkuu?ha ha ha ha hii ni mida ya uumbaji mkuu
Lindo litakosa walinziVipi wewe haufanyi uumbaji mkuu?
Umeshalala mrembo?Vipi wewe haufanyi uumbaji mkuu?
Hakika mkuu tupo gizaniWalinzi mpo wapi ? Nasikia mji wenu huko uko gizani