kumbe tumo wengi, kumepooza km hamna watu yaanNimo aisee.
Tujuane tujuaneee.
Ndo mida yenyewe huwezi walaumu.kumbe tumo wengi, kumepooza km hamna watu yaan
Kwa nini madame. Tuletee stori nyingine bwanaJana nimekesha asubuhi naiona hivi hivi.... na leo yaani najiona kabisa itakuwa hivyo.
Haya tuchekiane baadae hapa hapa tutie mastory.
Umekesha wapi?Jana nimekesha asubuhi naiona hivi hivi.... na leo yaani najiona kabisa itakuwa hivyo.
Haya tuchekiane baadae hapa hapa tutie mastory.
Umeniwahi kidogo tu

Kalale dogo hapa ni kwaajili ya wakubwaUmeniwahi kidogo tu![]()
Kufa kupo tu Mkuu,ukisikiliza hizo story utakuwa unabaki home tukuna utafiti unasema wanaotumia muda mchache kulala wako hatarini kufa mapema
Wakubwa ndiyo mnapaswa mlale, sisi watoto damu bado inachemkaKalale dogo hapa ni kwaajili ya wakubwa

Namimi Siku moja nitakua mkubwa maana wanafaidi sanaWakubwa ndiyo mnapaswa mlale, sisi watoto damu bado inachemka![]()
Tupo Mkuu tunasubilia amri tu hapa ya Mkuu wa lindoHumu ndani mupo??
Katibu Niko hapaTupo Mkuu tunasubilia amri tu hapa ya Mkuu wa lindo

Sawa mkuuRKatibu Niko hapa![]()
Bado mke..Nakusubiri utandike..
Kwmba wakubwa damu imepoa..Acha madharauWakubwa ndiyo mnapaswa mlale, sisi watoto damu bado inachemka![]()
Leo utalala sebuleniBado mke..Nakusubiri utandike..