Tupogo niajeHello humu
wamegundua wanakesha bila faidalindo gumu,,,,
napita tu.............
kuna utafiti unasema wanaotumia muda mchache kulala wako hatarini kufa mapemaSina usingizi... Walio active pls ushirikiano wenu muhimu.
kuna utafiti unasema wanaotumia muda mchache kulala wako hatarini kufa mapema
Duh utafiti unatuonea huukuna utafiti unasema wanaotumia muda mchache kulala wako hatarini kufa mapema
Wanatuzingua tu kutafuta uprofesa na tafiti uchwaraTafiti zimekuwa nyingi sana siku hizi
Je kuna ukweli wowote?Tafiti zimekuwa nyingi sana siku hizi
labda kuna ukweliDuh utafiti unatuonea huu
Dah...hii hua ni kibwagizo au?

Dah...karibu SakayoHabari za humu

Asante sana mkuuDah...karibu Sakayo![]()
Dah...Ni kweli...kuanzia 40+...unatakiwa angalau 8hrskuna utafiti unasema wanaotumia muda mchache kulala wako hatarini kufa mapema



Je kuna ukweli wowote?
ha ha ha ha kama ni hivyo mkuu,ngoja nikimbie lindo maisha bado matamuDah...Ni kweli...kuanzia 40+...unatakiwa angalau 8hrs![]()
Lakini tujiulize,kwa nini mpaka saa hivi sisi hatujalala?tuna matatizo gani,wakati sisi ni binadamu kama wengine?Upuuzi tu.
Dah...subiri ufikishe 40....2039ha ha ha ha kama ni hivyo mkuu,ngoja nikimbie lindo maisha bado matamu


