Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Ok..Mi nilimwambia ni sehemu ya kazi..Akapige mzigo..Nisamehewe bure..Ni dhambi ndio maana ni uongo utakuwa unasema
Ok..Mi nilimwambia ni sehemu ya kazi..Akapige mzigo..Nisamehewe bure..Ni dhambi ndio maana ni uongo utakuwa unasema
Haha hata yeye asamehewe maana ni suala liko wazi sema alikuja kwako kama kutafuta kuungwa mkonoOk..Mi nilimwambia ni sehemu ya kazi..Akapige mzigo..Nisamehewe bure..
Abee
Abee
hisia zako zimekudanganya jojipoji koromijeMrembo nahisi utakuwa single, niambie!!!! Hakuna kitu napenda demu akiniitikia kama ulivyoitika!!!!! Itika yako inaonyesha adabu, upendo na utulivu!!!
nilisahau kusaini auti nimekujaLindo limefungwa rasmi
hisia zako zimekudanganya jojipoji koromije
Nilishakuwekea absentjana na leo
ndio, maana naona ameanza kuhisi hisi [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23] umeona uje front mwenyewe
[emoji23][emoji23] nadhani ujumbe ameshapatandio, maana naona ameanza kuhisi hisi [emoji41]