HatujamboNawasabahi wake kwa waume....
Hatujambo
Naona lindo bado kuchangamka...
sawa mkuu ngoja tuendeleze lindo kwa kupata kahawaHapa ndo limechangamka vilivyo.
Wapi huko kamandaTwendeni kwenye maombi wapendwa
sawa mkuu ngoja tuendeleze lindo kwa kupata kahawa
ha ha ha ha zinasaidia sana kufupisha usikuMimi niwekee tangawizi, kikombe kidogo.
ha ha ha ha zinasaidia sana kufupisha usiku
ha ha ha ha huyu mchoyo....Kabisa mkuu, Khantwe ana kashata kwenye mkoba wake. Tusubiri muda kidogo atatugea.
Kwa askofu wetu wa editingWapi huko kamanda
Sishei na mtu aisee
Mtacheza na nani sasa msipocheza na mimiHatuchezi na were!
Mtacheza na nani sasa msipocheza na mimi
Kama hutupi kashata!!!
Zilete sasaNauza, kashata moja mia tano
Nauza, kashata moja mia tano