JamiiForums Usiku wa manane
Nipe ufafanuzi.
mpaka umalize chakula cha kilo moja utakuwa umeshaanza kumengenya kingine kuanzia mdomoni hadi kufikia tumboni, kitakuwa kimebadilishwa kwenye mifumo mingine iliyo mepesi .......
baadhi ya mifumo inatoka mwilini kama jasho.
Bila kusahau mwili utaendelea kutumia nguvu na kuchoma baadhi ya mafuta kipindi unapokuwa unakula zile kilo zako 1....

labda tu kama utabugia chakula chote kwa mkupuo na ukajipima....ila bado unaweza usipate kilo zote...mwili haupumziki kumengenya chakula...na kukiweka kukitoa katika mifumo mingine ya hewa na jasho...
 
Kwa mbali sana unakaribia kunishawishi.

Labda niulize kwa namna hii:-

Maji ya lita moja (ni almost 1kg, assuming yana density ya 1), nikiyanywa kwa mkupuo then nikapima immediately nitakuwa nimeongezeka kilo 1?
 
Unaweza ndio kupata hizo kilo....zingatia timeframe...maana hata kupumua nako kunapunguza kilo

Duh, kupumua si ninaingiza na kutoa?

So point hapo ni timeframe. Means hata kwenye chakula naweza kufanya timing nikakutwa na uzito +1.
 
Back
Top Bottom