Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Hata kama una 12 yrsSio umri, pale akianza kujihusisha na wanaume
Hata kama una 12 yrsSio umri, pale akianza kujihusisha na wanaume
30+..Ukiwa umezaa una-qualify zaidi..
Nasikia Kwa Lugha Ya Malkia Kama "Bat" Maana Hata Mimi Lugha Ya Malkia Vurugu Tu![]()
Ndio babyHata kama una 12 yrs
Haya mama..Ngoja nijaribu kuomba na sehemu nyingine
Ni popoo sio popoPopo mbili zavuka mto. Jibu lake "macho".
Macho kwa kiingereza ni "eyes", kwa hiyo popo ni eye(s).
Haya mama..
Popo mbili zavuka mto. Jibu lake "macho".
Macho kwa kiingereza ni "eyes", kwa hiyo popo ni eye(s).
Usijali Tunapotea Na Kurudi Nami Kuna Wakati NilipoteaNimekaribia,shukrani sana.
Huzuni niliyo nayo,sijakuta sura mpya humu na kuadimika kwangu.
Pia Popo Usiku Ndio Huwa Active Mchana Analala Na Kujicha Kwenye Sehemu Za GizaPopo mbili zavuka mto. Jibu lake "macho".
Macho kwa kiingereza ni "eyes", kwa hiyo popo ni eye(s).
Kwa Elimu ya lasaba B wote ni wanyama..Hata sisimizi ni mnyamaKwa Haraka Haraka
Popo Ni Mnyama Vs Bundi Ni Ndege
Hahaha Boss Hiyo Hatari Hadi SisimiziKwa Elimu ya lasaba B wote ni wanyama..Hata sisimizi ni mnyama
Teh teh..Kwani haujafikisha vigezo??Khaa. ...ubaguzi huu sasa
Unajua dhahiri siwezi kukuruhusu..Unanifanyia visa tu.Naruhusiwa?
Teh teh..Kwani haujafikisha vigezo??
Lindoni pagumu wengine tunachuliaga na kusinziaNimekaribia,shukrani sana.
Huzuni niliyo nayo,sijakuta sura mpya humu na kuadimika kwangu.
Teh teh...Boss..Lasaba B tulifundishwa kuwa viumbe hai vimegawanyika katika makundi mawili..Wanyama na Mimea..Sisimizi hapo yupo wapi sasa?Hahaha Boss Hiyo Hatari Hadi Sisimizi
Mbona unalalamika ubaguzi sasa??nahisi nimepitiliza. ....
Mbona unalalamika ubaguzi sasa??
We umelipenda lipi??nilipewa majibu 3 tofauti.
1. Ukishajua wanaume
2. Ukifika 16
3. 30+ na ukiwa na mtoto.
nachukua jibu gani hapo?