Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
0000 Lindo Linafunguliwa MkuuMbona Leo watu mmeripoti mapema??
0000 Lindo Linafunguliwa MkuuMbona Leo watu mmeripoti mapema??
Mbona Leo watu mmeripoti mapema??
Wanawake?
Mbona Umewahi Hivyonafikisha mwakani. ....

Ndo nimekupa hints sasa..Muda wa kuomba ndo huu..Unaongeo kwa sauti ya kimahaba yenye msisitizo huku ukichezea kitambi..Sio unaleta maombi mchana kweupe tukiwa sebuleni.Tangu nilipoanza kuomba huu mwaka wa nane hujaninunulia hata baiskeli wacha tu nipumzike
HapanaEehh....maana kwa tafsiri ya juu nilidhani hadi uwe mama
Mbona Umewahi Hivyo![]()
Nasikia Kwa Lugha Ya Malkia Kama "Bat" Maana Hata Mimi Lugha Ya Malkia Vurugu TuPopo kwa lugha iliyokuja na meli anaitwaje?

Hapana
Hii Saa Inasomwa KigahidiSaa saba kasoro 39
Ngoja nijaribu kuomba na sehemu nyingineNdo nimekupa hints sasa..Muda wa kuomba ndo huu..Unaongeo kwa sauti ya kimahaba yenye msisitizo huku ukichezea kitambi..Sio unaleta maombi mchana kweupe tukiwa sebuleni.
Nasikia Kwa Lugha Ya Malkia Kama "Bat" Maana Hata Mimi Lugha Ya Malkia Vurugu Tu![]()
Hivi CV ni lazima zipitie kwako?? Hebu mie nirudi zangu piyemuWewe umeajiriwa lini hapa mbona hata CV yako sikuona
Mkuu KaribuDaah.....
HahahaOoh basi nishakupata. . ...tuko pamoja sasa. ...
wanakosea sana hizi shule zetu. ...
O for Octopus. ....halafu nakuja kujua uzeeni ni pweza. ...
Nimekaribia,shukrani sana.Mkuu Karibu
30+..Ukiwa umezaa una-qualify zaidi..Umri upi mtoto wa kike anapaswa kuitwa MWANAMKE?
Yeah mimi ndio HRHivi CV ni lazima zipitie kwako?? Hebu mie nirudi zangu piyemu