Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Tangu nilipoanza kuomba huu mwaka wa nane hujaninunulia hata baiskeli wacha tu nipumzikeWe mwanamke..Huu muda wa kuomba nyumba na gari we upo huku..
Tangu nilipoanza kuomba huu mwaka wa nane hujaninunulia hata baiskeli wacha tu nipumzikeWe mwanamke..Huu muda wa kuomba nyumba na gari we upo huku..
asante , kwa kunielewaaa
Niko bien.
Kwa Haraka Harakaunipe darasa....sasa tafadhali
Sio rahisi ujue, kama hujiamini bora unirudishie sasa hivi maana baadae zitazaa na ribaSiku ikijulikana tofauti nitarudisha shikamoo zako.
We mwanamke..Huu muda wa kuomba nyumba na gari we upo huku..
Wahuni Tunaojifunika Ngumi Inabidi Unawahi BossHumu jukwaani kipindi cha mvua lindo lilikuwa gumu, unakuta usiku mzima hakuna mlinzi kaingia zamu.
Sio umri, pale akianza kujihusisha na wanaumeUmri upi mtoto wa kike anapaswa kuitwa MWANAMKE?
Humu jukwaani kipindi cha mvua lindo lilikuwa gumu, unakuta usiku mzima hakuna mlinzi kaingia zamu.
16Umri upi mtoto wa kike anapaswa kuitwa MWANAMKE?
Humu jukwaani kipindi cha mvua lindo lilikuwa gumu, unakuta usiku mzima hakuna mlinzi kaingia zamu.
Sio rahisi ujue, kama hujiamini bora unirudishie sasa hivi maana baadae zitazaa na riba
Kwa Haraka Haraka
Popo Ni Mnyama Vs Bundi Ni Ndege
ndio kusema hatuna vitendea kazi vya masika au?
tunaogopa kunyeshewa?
Sio umri, pale akianza kujihusisha na wanaume
Sawa kama wajiaminiHaziwezi kurudi, nina uhakika wa asilimia mia.
Wanawake?khaaa mbona tuko wengi humu
Wewe umeajiriwa lini hapa mbona hata CV yako sikuonaMbona Leo watu mmeripoti mapema??