Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Kumbe ni weekend.....
Iko poa sana
Iko poa sana
Weekend vp aisee
Weekend vp aisee
ha ha ha ha muda huu ndio kumekucha hukuMie mpitaji tuu, nikaona niwasalimie
Hongera mkuu kwa kuiona siku mpya!ha ha ha ha muda huu ndio kumekucha huku
Upo mwananguNapita tuu mimi
Na kwako pia mkuu,nimetoka kulewa natafuta usingiz hapa na paleHongera mkuu kwa kuiona siku mpya!
Muwe na wakati mwema wandugu, niliamka kuzima data!
Toto zuriNipo ajuza bbade
Bibi kizeeAjuza maana yake nini?
Thad mama, mambo ? ni muda mrefu hatujaongeaIpo siku utayakumbuka haya maneno yangu, japo nahofia utakuwa umeshachelewa. Vipi kaka zako hawajambo? Waambie nimewamiss
![]()
Bibi kizee