Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Saa tisa na 59 fumba macho
Mkuu vipi huko dalili zikoje??Hofu imetanda kwa wakazi wa mikoa ya mtwara na Lindi kwa kile kilichotangazwa na wataalamu wa hali ya hewa
Mungu wanguMvua zinazohofia kutikeq kwa mafuriko mikoa ya mtwara na Lindi zimeanza kunyesha
Tupoo nipo kwa bed hakuna usingiziPopooooooooooozzzz
Dah...njoo Uhuru/Msimbazi tupige domoTupoo nipo kwa bed hakuna usingizi


Sawa tuko pamoja...Walinzi usingizi ni anasa lindeni kwa mujibu wa kanuni za lindozz..
Muda bado wengine tuelekee wapi sasa?..Nalifunga lindo..



Tupoooo!!!Popooooooooooooooooozzzzzz
Nipo lindo hapa baadae waje wengine wanipokeeTupoooo!!!
SawaaaNipo lindo hapa baadae waje wengine wanipokee