JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

conway twitty- don't cry joni
don williams- you are my best friend

mwenye nyimbo za aina hii aweke humu ,saivi naskiliza hizo mbili
 
 
Mkuu wa nini ?

Haya majina yenu kuitana tana "mkuu" huwa mnattuotoa kwenye mood wengine.

Huwa sipendi mwanamke au mtoto wa kike aniite "mkuu".
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Hawajui tulipotoka,
Watajuaje tunapokwenda,
Ya kwao yamewashinda, yeeetu
Hawatawezaaaaa!

Wella! Wellaaaaaaah! Kujeni huku tuote motooooo!

Zurri, Khantwe, Thad, Shimba, woooteeee kujeniiiii!
 
Back
Top Bottom