JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo kuna mtu aliniuliza hivi "Muda ni nini ?". Mimi nikamwambia "Muda ni kiumbe,na hakuna sehemu yoyote ambayo haina muda"

Sasa waungwana,je jibu langu ni sahihi au si sahihi ?
 
Mimi sio mswahili

Wewe ni mswahili ndio,kwa ada na desturi ukikaa mji au nchi zaidi ya miaka minne unanasibishwa na nchi hiyo. Haoa jibu sahihi useme tu kwamba "Hujui" ila usiukane uswahili wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ipo siku utayakumbuka haya maneno yangu, japo nahofia utakuwa umeshachelewa. Vipi kaka zako hawajambo? Waambie nimewamiss[emoji6]
Kama wewe umeamua kutafuta mwingine kaka zangu naomba achana nao kabisa
 
Back
Top Bottom