Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,056
- 10,342
Dah...wengine hatuna steles bana....tupo jobWenye stress za mapenzi tukashindwa kulala karibuni tukeshe kwenye huu uzi,
Dah...wengine hatuna steles bana....tupo jobWenye stress za mapenzi tukashindwa kulala karibuni tukeshe kwenye huu uzi,
Sawa bwana mlinzi lindo vipi hali shwari?Dah...wengine hatuna steles bana....tupo job
Aah tafadhali bwana,kwamba tunaokesha hapa tuna stress za mapenzi?Wenye stress za mapenzi tukashindwa kulala karibuni tukeshe kwenye huu uzi,
Na madeni mkuu kwahiyo usingizi unagoma kabisa.Aah tafadhali bwana,kwamba tunaokesha hapa tuna stress za mapenzi?
Ukisema za madeni sawaNa madeni mkuu kwahiyo usingizi unagoma kabisa.
Niaje huku???
Wapi waendaNapita....
Nzugwi kunuuu!!!Wapi waenda
Nipo .....Wapi waenda
Sijambo Uko aje?broPoa, hujambo?
Iko byeeeeeWale tulio malindoni vipi hali?