Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Kuna mbabe wa jf usiku wa manane kanificha[emoji6]Umeadimikaaaa
Kuna mbabe wa jf usiku wa manane kanificha[emoji6]Umeadimikaaaa
Kuna mbabe wa jf usiku wa manane kanificha[emoji6]
Mapunziko haya lindo litabaki Salaam?
Ndio maana leo nimeamua kumtoroka ili nije kuwasabahi wapendwa wangu... Uko poa lakini?Asikufiche sana, wapendwa wako wengine tunakuhitaji ujue...
Ndio maana leo nimeamua kumtoroka ili nije kuwasabahi wapendwa wangu... Uko poa lakini?
Nani huyooooKuna mbabe wa jf usiku wa manane kanificha[emoji6]
Hi walinzi
Vipi aiseeUnaonaje Ukijitolea Kutulinda?
Mpo jamani good Friday wapi tupeqne codes
Nzuri hujambo bbadeHello Mlinzi....za kushinda?
Vipi aisee
Nzuri hujambo bbade
Ningeshangaa usingeniuliza hilo swali [emoji23]Nani huyoooo
Oooh nafurahi kusikia hivyo, msalimie sana mwenzio. Ikikupendeza mwamshe nisikie japo neno lake[emoji6]Hatujambo mimi na wenzangu....
Tunashukuru na sisi leo turinge na wewe kidogo
Oooh nafurahi kusikia hivyo, msalimie sana mwenzio. Ikikupendeza mwamshe nisikie japo neno lake[emoji6]
KhaaNingeshangaa usingeniuliza hilo swali [emoji23]
Ni huyo unayemuona kwenye avatar yangu[emoji6]
AhsanteSijambo Dada....karibu Lindoni