Muda ni Mali.
Kwa kiingereza: Time is money.
Huo ni msemo,na sio maana. Ulizia maana ya Muda kisha unipe faida.
Muda ni Mali.
Kwa kiingereza: Time is money.
Ni kweli sio mimiKama nakufananisha vile ? Sio wewe kweli ?
Utakuwa sio wewe.
Ni kweli sio mimi
Safi hujambo mobutuniaje
Huo ni msemo,na sio maana. Ulizia maana ya Muda kisha unipe faida.
Swalamaaa, uko poa wewe?Nimeona. Vipi lakini uhali gani ? Swalama ?
Msemo ndo umezaa hiyo maana.
Swalamaaa, uko poa wewe?
Swalamaaa, uko poa wewe?
Hiyo ila kaa nayo mwenyeweNiko poa,ila ..............!
Nikutoe shaka tu.Hiyo ila kaa nayo mwenyewe
Wapo na wengineHumu kama tuko mimi na wewe vile ? Au mimi sioni vizuri ?
Wanategea lindo sio ?Wapo na wengine
Unataka zisimame?Nikutoe shaka tu.
Ila siku zinakimbia mno.
Hapana wanalinda piaWanategea lindo sio ?
Unataka zisimame?
Wanalinda kwa style yao sio ?Hapana wanalinda pia
Basi acha zikimbieSababu hazina tabia ya kusimama.
HaswaaWanalinda kwa style yao sio ?