Labda !
KitaaologyHivi huu msemo wako ulizingatia kanuni gani za lugha au umezingatia kanuni za logic ? Maana kipande cha pili,huwa sikielewi kabisa.
Msaada tafadhali.
Asante sana,ingekuwa kinyume chake ningesema chochote.Kitaaology
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hebu sema ulichokuwa unafikiria huenda hata sisi wengine tutajifunzaAsante sana,ingekuwa kinyume chake ningesema chochote.
Huu utakuwa mjadala pweke na wenye kutaka muda. Ila tosheka na hicho nilichokisema kwani nina uhakika ni bora zaidi.Hebu sema ulichokuwa unafikiria huenda hata sisi wengine tutajifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaHuu utakuwa mjadala pweke na wenye kutaka muda. Ila tosheka na hicho nilichokisema kwani nina uhakika ni bora zaidi.
Tupe summary mkuu notes tutafuta wenyewe si unaona palivyopoa hapaHuu utakuwa mjadala pweke na wenye kutaka muda. Ila tosheka na hicho nilichokisema kwani nina uhakika ni bora zaidi.
upo bbade ?
ukija njoo piemu nimekutafuta sana leo
Unapita?