Yakoje?
Haya maisha ni SIFURI KISIRANI.
Yakoje?
Ukimaliza Ndoto uje LindoniHivi ingekuwaje mimi Zurri fulani angekuwa wangu,tena wangu wa maisha,yaani wa kupika na kupakua. Unafikiri ingekuwaje ???
Daaah !
Mimi pia nimefurahi. Nipitaga mara moja mojaMimi mzima nashukuru kukuona tena hapa
Inatosha
Sijalala wala hata chembe ya usingizi sina,haya niliyoyaandika yanatoka moyoni kabisa.Ukimaliza Ndoto uje Lindoni
Sijalala wala hata chembe ya usingizi sina,haya niliyoyaandika yanatoka moyoni kabisa.
Vingine havikimbizwi na huyu ni miongoni mwa vile visivyokimbizwa.Endelea kukimbizana naye
Hivi humu tumebaki mimi na wewe sio ?
Uogopi kubaki na mimi lindoni ?
Na nina meno mawili yenyw ncha kali ajanu,nang'ata.
Hivi huu msemo wako ulizingatia kanuni gani za lugha au umezingatia kanuni za logic ? Maana kipande cha pili,huwa sikielewi kabisa.Monday, 15 April, 2019
00:03AM
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Basi ngoja niwaite wengine watupe kampani kabla hujanidhuruNa nina meno mawili yenyw ncha kali ajanu,nang'ata.