Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Tunachezea mshahara sisi,si kazi.
Hilo ndio la msingi. Btw uko poa?Tunachezea mshahara sisi,si kazi.
Usinichomeshe mahindi tenaLindo gumu sana sasa hivi.
Niko poa sana bibie. Umeadimika kama.....................!
Usinichomeshe mahindi tena
Kama niniNiko poa sana bibie. Umeadimika kama.....................!
Kama kama kama kama kwapa la nyoka.
Usinichomeshe mahindi tena
Acha nisinzie tuHahaha, nasubiri game ya OKC vs Portland, inaanza angalau mapema.
Kama kama kama kama kwapa la nyoka.
Hapana nilikuwa namuonea aibu niliyekuwa namjibu.Hiki ni kiswahili au ndio mwenzetu unauma maneno?