Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Hodi! !!
Nashukuru sana.Karibu.
Nashukuru sana.
Mzima Kaka angu?
Mzima mdogo wangu, hofu kwako.
Sijui nikasahau vipi?
Mwisho wa mwezi umepita kimya kimya.
Miezi iko mingi, naona jukwaa umelisusa na walinzi waandamizi nao wamesusa.
Ni kweli tusubirie.
Sijasusa. ...hakuna wakunisindikiza....
Wewe waja kufungua unapotea unarudi kufunga.
Sawa sawa.
Leo naona kuna dalili za kuchangamka.
Leo nimeoteshw ukilala tu unabakwa kwahyo hpa leo mkesha tu ariiiifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tusubirie.
Sijasusa. ...hakuna wakunisindikiza....
Wewe waja kufungua unapotea unarudi kufunga.

Duh!
Popobawa ama?
Mwandiko wako mgumu kusoma au mimi sijui kiswahili?
Asante nishakaribia. ..za jioni /usiku?