mkuu hamna kubadilishana jamaniiii?saa ya lindo.............
muda bado,,bus la poti wengine litakuja saa 12asubuhi...mkuu hamna kubadilishana jamaniiii?
mabadiliko yalienda nao ,offline........Naona askari wako legelege leo....nini tatizo?
Ha ha ha ha inawezekanamabadiliko yalienda nao ,offline........
Silaha zao za jadi,, sasa tume upgrade kwenye nuclear inter ballistic missile....Ha ha ha ha inawezekana
ha ha ha ha wakiingia lindoni wote watakuwa chaliii;ni kama ile vita ya majimaji,wanarushiwa risasi wanaitikia maji huku wakiwa wanakufa,Silaha zao za jadi,, sasa tume upgrade kwenye nuclear inter ballistic missile....
ngoja wamalize kupdate silaha za jadi watakuja...........
lindo litakuwa gumu mzeee ka vipi waambie wawahi kidogo naona hiii shift wengi hoimuda bado,,bus la poti wengine litakuja saa 12asubuhi...
hahaha ngoja wakusikiee.....ha ha ha ha wakiingia lindoni wote watakuwa chaliii;ni kama ile vita ya majimaji,wanarushiwa risasi wanaitikia maji huku wakiwa wanakufa,
ha ha ha ha hahahaha ngoja wakusikiee.....