Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Kiasi nafunga shoe laces nakam,endeleeni tu
Hahahhhh nafikir ni za jion mamito, maan huku kwangu ni kama jua limezama mda sio mref mamito karb sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamito ni kama kusema dem ama wife kitu ka hio,though in kenyan contextNajaribu kuelewa lugha bado.
Mamito inamaana gani?
Bado jioni huku
Mamito ni kama kusema dem ama wife kitu ka hio,though in kenyan context
Kwani huko kuna nyesha?si huku mvua tunaiskia tu lakini hatuoniKipindi cha mvua hichi, lindo inabidi liimarishwe.. Wakora hawachelewi kuondoka na huu uzi..

Hahah ka wewe ni mamito wa msee,itabidi huyo nigga ajipange then,kusema ukweli hata mi sielewi venye anatext,huku ukitext ivyo its either uko haeskul ama we ni msee wa eastlandsNiaje Latty?
Nashukuru sasa mimi mamito wa mtu. .inakaaje hapo
Huu ukanda wa pwani ni mwemwele mwemwele..Kwani huko kuna nyesha?si huku mvua tunaiskia tu lakini hatuoni![]()
Umetoka pwani mombasa?Huu ukanda wa pwani ni mwemwele mwemwele..
Kipindi hichi kamati ya Ulinzi na Usalama shurti iwe gado..
Ishia Tanga,wale wa Boikoko
Hahah ka wewe ni mamito wa msee,itabidi huyo nigga ajipange then,kusema ukweli hata mi sielewi venye anatext,huku ukitext ivyo its either uko haeskul ama we ni msee wa eastlands
Haha sitaki beef na mtu mimiHii imeingia vizuri.
Message sent!!!!

Haha sitaki beef na mtu mimi![]()
Pwani ya kiwenga.. Buda uko Marsabit nnUmetoka pwani mombasa?
Hahah nasema mi na yeye sitaki anichukie,sijui anajiita akili pesa,We are good....
Sijui kiwenga ni wapi,sawa,mi natoka MarsabitPwani ya kiwenga.. Buda uko Marsabit nn