Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Hawezi. ..hujakosea pahali
Hahah nasema mi na yeye sitaki anichukie,sijui anajiita akili pesa,
Hahah nasema mi na yeye sitaki anichukie,sijui anajiita akili pesa,
Btw umelost?Howz you?Hawezi. ..hujakosea pahali
Am good. Thank youBtw umelost?Howz you?
Mbona umejibu kinyonge.. Waeza kuwa uko central.. Kiwenga ni huku kwetu UngujaniSijui kiwenga ni wapi,sawa,mi natoka Marsabit
Good to knowAm good. Thank you
Mhola ng'wanangwa. Ulimhola?
Kwasababu sijui huko ni wapi,ndo maana,najua tu Tanga,arusha na dar mi huziskia tu but sijaihata fikaMbona umejibu kinyonge.. Waeza kuwa uko central.. Kiwenga ni huku kwetu Ungujani
Hahah enyewe we ni lumumba,big upSleep my little Kovu, one day when you are big and strong you will be a king...![]()
Usiwaze mzee baba, area yote iko under our jurisdiction so lazma tuilinde..Kwasababu sijui huko ni wapi,ndo maana,najua tu Tanga,arusha na dar mi huziskia tu but sijaihata fika

Hahaha moto,na btw meso imeingia sijui ka ni ya saf
So unaenda vile ukam.. Ukuje na mokimo tafadhali..Acheni nipige rounds wasee ntakam badae,![]()