Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
MbayaSijambo dear, za wewe?
MbayaSijambo dear, za wewe?
Don Clericuzio uliniambia kuwa leo huwa mnakuwa wengi haya mko wapi sasa
Nini mbaya bestMbaya
Kumbe walinzi wa siku hizi ni barafu?Walinzi wameyeyuka!

Kweli mgumu, pole mkuu.Usiku mgumu , leo nilishabikia vita kapigwa sasa hivi nimetoka kuangalia chama langu Man U naye kapigwa
Kumbe walinzi wa siku hizi ni barafu?![]()
Hii game inachezwa sahivi, super sport namba ngapi?View attachment 1047318
UFC inaniweka lindoni.
Dah...nami ndiyio narejea...mlonge umeisha mapema leo...Asaaalaamaleikum za nguvu wote mliopo lindo ndio nimewasili.