Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
5:00am Tunafunga lindo..
Lindo linafungwa saa 12 kamili. Muda unakaribia.
5:00am Tunafunga lindo..
Kumbe niliwahi kurudisha zana..Lindo linafungwa saa 12 kamili. Muda unakaribia.
Mimi siku hizi nalinda jioni, zamu za kulinda usiku wa manane ziliisha!
Hivyo sasa mantiki ya jf usiku wa manane inakuwa haipoMimi siku hizi nalinda jioni, zamu za kulinda usiku wa manane ziliisha!
Sent using Jamii Forums mobile app

tupo hapaDon Clericuzio uliniambia kuwa leo huwa mnakuwa wengi haya mko wapi sasa
My wii unatafuta nini huku
Hujambo Mr Millertupo hapa
Jioni unalinda nini? Bora ujiuzulu hii kazi ya ulinziMimi siku hizi nalinda jioni, zamu za kulinda usiku wa manane ziliisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwanamke hujamboJioni unalinda nini? Bora ujiuzulu hii kazi ya ulinzi
Sijambo dear, za wewe?We mwanamke hujambo