Ip man 3
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 677
- 559
😁😁😁😁 daah aisee kweli tumeishiwa Pumzi....Mi siji kijiweniMasaa hayaendi kuna kijiwe nataka kwenda cha Yanga na Simba, najua hapatatosha.
Hii game inachezwa sahivi, super sport namba ngapi?
Happiness is a lifestyle
SafiiiHabari zenu wakuu
Nashukuru kusikia hivyoSafiii
AminaSafi tu nawatakia usiku mwema mbarikiwe mara kumi.
Safi tu nawatakia usiku mwema mbarikiwe mara kumi.
safi dogo, haujambo! [emoji41]Habari zenu wakuu
AmenSafi tu nawatakia usiku mwema mbarikiwe mara kumi.
safi dogo, haujambo! [emoji41]
karibu lindoniSijambo mkuu
Kwani kitanda chenu kina kunguni?safi dogo, haujambo! [emoji41]
Sijambo mkuu