D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,173
Daaah maisha ya mkoa wa pwani ni magumu sana na hili joto ndo hatari Tupu
Hahahaaa kunywa maji mengiLeo mungu anisaidie tu nimekunywa redbull kabla ya kulala timee hii hata kusinzia sijasinzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mungu anisaidie tu nimekunywa redbull kabla ya kulala timee hii hata kusinzia sijasinzia
Sent using Jamii Forums mobile app

Tusokua na Kazi tuangalie XnxMada hii mmmmh..wa kulala wacha tulale na wenye kazi zao za kukesha chapeni kazi.

Roll call time, watoro wamekuwa wengi sana siku hizi