hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,590
- 73,954
Poleee
Jamani jamani nime kukosa sana " Nyanya yangu .... long time no seeAhsante. Ila mbona unanifukuzia kulala, msalimie mjukuu wangu hearly
Ahsante. Ila mbona unanifukuzia kulala, msalimie mjukuu wangu hearly
Jamani nyie wanga mpo
Super hero daddy
Aisee " fanya basi na mimi unipatie hiyo. Ndele ndugu
Hahaha haha ... kwa kweli hakuna asiye taka !!Sikufukuzi, siku hizi nimezoea ndo mida yako hii.
Nani asiyetaka kukaa na wewe?
Hata sielew,sio mambo hayo mkuu.Sijui imekuwaje wananisumbua balaa,me sio wa kugegeda gegeda hovyo!Aisee " fanya basi na mimi unipatie hiyo. Ndele ndugu
Maendeleo hayana chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dahh " itakuwa umeshinda Biko mkuu sio bure .... lazima itakuwa umeshakuwa mcharo ..Hata sielew,sio mambo hayo mkuu.Sijui imekuwaje wananisumbua balaa,me sio wa kugegeda gegeda hovyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha siwaona maisha yetu yamejaa insomnia tosha![]()
![]()
Mkuu
Super hero daddy
Hata sina madafu kihivo.Nina kikazi changu cha kawaida tu,Ila hulka yangu ni muungwana na mkimwa hivi.Nadhan ndiyo maana.Sina hata Uwezo wa kuhongaDahh " itakuwa umeshinda Biko mkuu sio bure .... lazima itakuwa umeshakuwa mcharo ..
Maana sifa ya hivyo viumbe huwa vinanusa sehemu yenye pesa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa " basi itakuwa una sura ya mama !!!Hata sina madafu kihivo.Nina kikazi changu cha kawaida tu,Ila hulka yangu ni muungwana na mkimwa hivi.Nadhan ndiyo maana.Sina hata Uwezo wa kuhonga
Sent using Jamii Forums mobile app