JamiiForums Usiku wa manane
Muda WA kufunga lindo umekaribia.. Mtu mmoja atufungie lindo kwa Sala/Duwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...
Eeeh baba...uwabariki wote waliokesha...kwani wengi tumefanya bila mapenzi yetu....wapweke (tupe nguvu) ...wenye kazi zaidi ya 1(tupe ridhiko)...homeless (tupe angalau kaghetto)... walinzi(tupe vyeo nasi tulindwe).....wabeba box (turudishe nyumbani tufurahie)....nk nk
Eee baba wewe ndiye mwenye nguvu

Sent using Beretta ARX 160
 
Amyn.. Umeua hapo kwenye 'sisi walinzi' , hahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaameen....!

Back
Top Bottom