JamiiForums Usiku wa manane
Itakuwa ni sawa na ajali tu .. mpango ni kufika safari ..hakuna anayeianza safari then akawa na matarajio ya kuanguka na gari njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
Akaa safari ambayo hujui hata dereva anawaza nini kichwani, hujui anafikiria kutumbukiza mtoni, kugongesha kwenye mti, hujui mtaweka kituo wapi yaani shida

Ili kuwaje mpaka ukakubali kuianza safari na dereva ambaye hana vigezo vinavyo stahiki .... hauoni kuwa hapo wewe abiria na dereva wote mtakuwa na matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom