HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Umeumia wapi? Nikupe first aid.Nasema na wewe :
"Kutokuwepo kwako kuliniumiza mimi"
Vigezo stahiki ni vipi? Anaweza kuwa na leseni sawa, sio chapombe sawa, ana sifa zote za udereva lakini unajua anawaza nini kichwaniIli kuwaje mpaka ukakubali kuianza safari na dereva ambaye hana vigezo vinavyo stahiki .... hauoni kuwa hapo wewe abiria na dereva wote mtakuwa na matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha basiii haha ... mkuu hadi mimi mtu mzima mwenzio wataka kuninywesha chai !!Kuna mtu nimemuwakilisha hapa.
[emoji124] swali gumu acha ni nyate kimya kimyaTeh teh....yuko wapi huyu mtu?
Umeumia wapi? Nikupe first aid.
Acha basiii haha ... mkuu hadi mimi mtu mzima mwenzio wataka kuninywesha chai !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni wakala tu katika ujumbe huo.
Oooh jamani. Eti Liverfool. Tuombe msamaha mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Usikute wewe ndio unamaumivu....pole lakini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Umepitia hiyo hali nini? Kazi kweli kweli!!!Chezea Jf [emoji3][emoji3] hapo ukute wapo kama nane kila mmoja anajijua ni yeye, ngachoka mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi nilovyo ningekuita chemba nikakwambia kile kilocho nisibu,ila ukweli ni kinyume chake.
Chemba zangu zimajaa
Yule jamaa wa Kenya akija tu na kuanza mambo yake Mr. Miller hatakawia kujitokeza. Kwema lakini?Teh teh....yuko wapi huyu mtu?