JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sijambo, hahaa najilinda dhidi ya vibaka wageni ukibisha hodi unafunguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa na shida; na wala mi siyo kibaka bana. Nilikuwa nafuatilia tu maongezi (yetu) ya siku ileeee kwenye uzi uleeeeee...Kama uko poa basi ndo inavyopaswa kuwa na Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
455104555_187969.jpeg
 
Amen bwana Shimba mimi niko salama salimini. Kikubwa uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom